National Anthems & Patriotic Songs "Kenyan national anthem (Ee Mungu Nguvu Yetu)" Слова пісні

Переклад:en

Kenyan national anthem (Ee Mungu Nguvu Yetu)

Ee Mungu nguvu yetuIlete baraka kwetuHaki iwe ngao na mlinziNatukae na unduguAmani na uhuruRaha tupate na ustawi.

Amkeni ndugu zetuTufanye zote bidiiNasi tujitoe kwa nguvuNchi yetu ya KenyaTunayoipendaTuwe tayari kuilinda

Natujenge taifa letuEe, ndio wajibu wetuKenya istahili heshimaTuungane mikonoPamoja kaziniKila siku tuwe na shukrani

Тут можна знайти слова пісні Kenyan national anthem (Ee Mungu Nguvu Yetu) National Anthems & Patriotic Songs. Чи текст вірша Kenyan national anthem (Ee Mungu Nguvu Yetu). National Anthems & Patriotic Songs Kenyan national anthem (Ee Mungu Nguvu Yetu) текст. Також може бути відомо під назвою Kenyan national anthem Ee Mungu Nguvu Yetu (National Anthems Patriotic Songs) текст.