National Anthems & Patriotic Songs "Mungu ibariki Afrika - National Anthem of Tanzania" testo

Traduzione in:caenptto

Mungu ibariki Afrika - National Anthem of Tanzania

Mungu ibariki AfrikaWabariki Viongozi wakeHekima Umoja na AmaniHizi ni ngao zetuAfrika na watu wake.

Ibariki Afrika, Ibariki AfrikaTubariki watoto wa Afrika.

Mungu ibariki TanzaniaDumisha uhuru na UmojaWake kwa Waume na WatotoMungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Ibariki Tanzania, Ibariki TanzaniaTubariki watoto wa Tanzania.

Qui è possibile trovare il testo della canzone Mungu ibariki Afrika - National Anthem of Tanzania di National Anthems & Patriotic Songs. O il testo della poesie Mungu ibariki Afrika - National Anthem of Tanzania. National Anthems & Patriotic Songs Mungu ibariki Afrika - National Anthem of Tanzania testo.