"KingsMainaMSsteve - William Ruto " Songtext

KingsMainaMSsteve - William Ruto

William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu tunakupeda sana William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu tunakupeda sana

Mzee na kazi baba wa taifa maedeleo tunayo tunajuvunia kuepo kwako Asubuhi nikiamuka humuombea sana William Ruto abarikiwe naibu wake pia abarikiwe siku nyingi duniani Ruto kasema ni vyiema kupea mifugo chanjo faida kwako wewe mkulima Kama umejega nyumba kwa bei nafuu nani mwingine kama wewe akuna umetujegea mashule mabalabala amani ya wakenya umetuletea mambo mazuri ya sha karo umepunguza watoto wanasoma vizuri nani mwingine kama wewe akuna William Ruto wewe ni mzuri ubagui wewe ni wa kabira fulani umetoka wapi unfanyaga nini unatupeda sote kama wakenya kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha vizuri tunajuvunia wewe baba wa taifa Ata walale waamuke waseme ubaya wako mimi nitakupeda nitakupeda zaidi ya jana Ebu taazama furaha ya wakenya ukieda Mombasa wanasema William Ruto tosha Nairobi Nakuru na county zote za Kenya tumeugana tunasema William Ruto tosha mambo mazuri huchukua muda tumpe nafasi tafadhari Walisema agusha bei ya sukari umeangusha wakasema agusha bei ya uga umeangusha mafuta pia umeangusha nani mwingine kama wewe akuna Mtu ni William Samoe Ruto tano tena Mtu ni William Samoe Ruto Mtu ni William Samoe Ruto

Hinzugefügt: 12.02.2025 KingsMainaMSsteve
Hier finden Sie den Text des Liedes KingsMainaMSsteve - William Ruto Song von . Oder der Gedichttext KingsMainaMSsteve - William Ruto . KingsMainaMSsteve - William Ruto Text.