"KingsMainaMSsteve - Mara Moja Mbili Tatu " Слова песни

KingsMainaMSsteve - Mara Moja Mbili Tatu

It's a new day baby wake up utachelewa kwenda kazini eeh

Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee

Mi nina mpago leo leo tunadunda nawe tulipatana juzi na katiba tuchasoma ukanipeda nikakupeda mtaani nishaigizia nawe picha tushapigwa kila mtu anajua wewe ni wangu eeh pete kufa kupona tushaapa tusiachane milele daima dawamu watani wananiita kipaza sauti ni nyimbo moto ninazoimba mapenzi moto nishakupa mziki tuchacheza nawe weeh queen sema jina langu boss baby wa nguvu ooh

Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee

Ati maisha London twende mombasa tukakure raa sahau shida ni kuwa muda darling naamini kwa utaratibu Dodoma Tanzania tutakueda Kampala Zimbabwe kote kote kote please please baby girl cheza kama wewe wacha kukazia mmh

Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee

Добавлено: 10 окт. 2024 г. KingsMainaMSsteve
Здесь можно найти слова песни KingsMainaMSsteve - Mara Moja Mbili Tatu . Или текст стиха KingsMainaMSsteve - Mara Moja Mbili Tatu . KingsMainaMSsteve - Mara Moja Mbili Tatu текст.