"KingsMainaMSsteve - Wachana Naye " Слова пісні

KingsMainaMSsteve - Wachana Naye

Taratibu wazee kwa vijana wamama kwa wasichana karibieni sauti inawalilia kuwa huzuni mingi samahani wapenzi tega maskio mnskilize maziri apa kuwa wingi maovu yote tunaodoa ukulasani chunga tamaa ya njee itakuagamiza na usahaulike chizika na wako wa nyumbani mwenye mapenzi kiupedendo isiyo ya leo leo leo tu milele milele eeh nasema tena milele milele eeh kaa ukijua

Eti ukimuona kavalia minskirt uwe kijana ama mzee Wachana Naye anasifa za kuacha mapaja na migogo wazi mwenye kumelemeta kaa maridadi car usiku anaka mwangaza Ila akipita usimkonyeze jicho usije ukajisahau

Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupedeza sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu

Sometime amevalia kogi kogi utaskia kogi kogi akipita kwa marigo huyo ni kama funza anasaka pakutumbukia Kwa muda ooh hao maabunuasi wako hapo ulipo walalahoi na walalahai wote wakitubukia ndani kwa ndani na kusahau na familia zao manyumbani kuwa mjaja usifanyue mtumwa wakate waodoe kuwa line up ya maisha yako usipagwe na nderemo na shagwe siku zote jijue wewe mwenyewe uwapedao uwatunzee dio watakao kuzika watasimama nawe wakati wowote kama ujui jua leo hakuna aliye kama wewe ulimwegu mzima sio sili tena ni wazi hatharani hawa watu wako nimejionea wenyewe jihathari ishi na watu vizuri eeh

Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupedeza sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu

Додано: 10 жовт. 2024 р. KingsMainaMSsteve
Тут можна знайти слова пісні KingsMainaMSsteve - Wachana Naye . Чи текст вірша KingsMainaMSsteve - Wachana Naye . KingsMainaMSsteve - Wachana Naye текст.