"KingsMainaMSsteve - Uso Unasigiziwa " Слова песни

KingsMainaMSsteve - Uso Unasigiziwa

Amenisimamisha kizimbani potelea mbali gerezani milele roho chafu wachakudaganya mie mla watu fisi mtapeli wa penzi lako mtu ni tambia igali sambamba eeh uso uso unausigizia nini hivyio baby usiniachee siku zote unipede tujegane mimi niwe maji yako unichotage wewe uwe gari langu nikuedeshe hadi uzeeni mi stima nieke mbali na maji eeh

Mola malaika mola malaika walimwegu mko wapi kusema ukweli uso wangu unasigiziwa unasigiziwa eeh nitalia na nani ooh nitalia nitalia eeh nani atakaenipeda kwa dhati aje anitulize moyo niwe mali yake anitawale tena niwe vazi lake anivalie, chozi likitirika mengi nimejionea jah anayenijua nimelala sakafuni sema maumivu kwa wingi ukweli wa mambo

Mola malaika walimwegu mko wapi uso wangu unasigiziwa unasigiziwa eeh nitakufa na nani ooh nitalia nitalia eeh nani atakaenipeda kwa dhati aje anitulize moyo niwe vazi lake anivalie tena niwe mali yake anitawale milele mimi niwe wake eeh

Nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue meeh nikupe mborea siku zote nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue meeh nikupe maziwa siku zote.

Добавлено: 9 окт. 2024 г. KingsMainaMSsteve
Здесь можно найти слова песни KingsMainaMSsteve - Uso Unasigiziwa . Или текст стиха KingsMainaMSsteve - Uso Unasigiziwa . KingsMainaMSsteve - Uso Unasigiziwa текст.