"Hatuuzagi By KingsMainaMSsteve " testo

Hatuuzagi By KingsMainaMSsteve

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao

Nikianika nguo zangu hapa Chini cianiki jua Dio zikauke Naanikia customer zangu Wapeda kazi yangu amenunua Longi Amenunua viatu Wamenunua kofia vinyasa Nimefugua duka amenunua Chovi mafuta Uga ya gano Wamenunua masoda Namwamini Mungu nisipouza leo kesho ni Siku kesha Ukiniroga mimi na kesha na Mungu wangu anibaliki zaidi Unatamani Nizikwe nikiwa uhai Hiyo ni ndoto ya Mchana my Friend mkiniona na baiki ama Kaduthi kangu nikiuza bithaa Zangu Heshimu kazi yangu ni Kama ile ingine mimi nimejiajiri Wewe umeajiriwa nani ako Mbele pamoja

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao eeh

Mimi na bidii zangu za kila siku Naigia Sokoni natadaza nyanya Ngunia napaga Nyanya zangu Sukuma zangu kitugu Matunda aina balibali avocado cabbage Jua imewaka woiye vitu zangu Zitahalibika Mungu ni nani Wamezinunua vitu zangu zote Hiyo ni kidole siku yangu lmejaa customer wengine ni Wazuri

Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao

Mvumilivu hula mbivu siku zote Ndugu dada majirani zangu Mwamini mungu sio binadamu Eeh

Aggiunto: 10 gen 2026 KingsMainaMSsteve
Qui è possibile trovare il testo della canzone Hatuuzagi By KingsMainaMSsteve di . O il testo della poesie Hatuuzagi By KingsMainaMSsteve . Hatuuzagi By KingsMainaMSsteve testo.