KingsMainaMSsteve - Tutawaaibisha (Wataaibika)
Walithania tutakuwa walivyio thania wao sisi sasa ni watu wengine hawaamini Wanasema ni uchawi wengine wasema ni miti shamba sisi tuna mjua mungu mmoja naye ni mungu wa ibrahimu ule wa bible eeh ule mmoja wa bible
Nilisema tu siku moja tutawaaibisha wataaibika na miujiza ya mungu wakituona sikuwa mlevi nikisema siku Yangu itafika nikuwe mimi lakini mimi mwingine mtu wa kupedwa na kila mtu mbona mnainama mkiniona niagalieni kwa macho nyinyi
Mwanadamu anamambo mingi ya kufanya maishani nayo maisha Ina surprise yake maisha ni shule kusoma kuhitimu ni kazi wambo aliniacha akapeda brayo wacha akae uko joki akasema sitanunua mahali sasa hivi ona masion yangu utaskia kiwaru