"KingsMainaMSsteve - Skai Milele " lyrics

KingsMainaMSsteve - Skai Milele

Miaka yangu haitakuwa hivi milele bado inasoga sitakuwa na sura mzuri milele siku moja itazeeka miguu yangu haitakuwa na nguvu ya kutembea milele siku moja nitashidwa kutembea macho yangu haitaona hivi milele siku moja nitashidwa kuona skai milele

Sitakuwa kijana milele haitakuwa kadem milele haitakuwa baba milele haitakuwa mama milele unazeeka na siku moja itazeeka alafu ukufe hatuishi milele

Miaka yangu haitakuwa hivi milele bado inasoga sitakuwa na sura mzuri milele siku moja itazeeka miguu yangu haitakuwa na nguvu ya kutembea milele siku moja nitashidwa kutembea macho yangu haitaona hivi milele siku moja nitashidwa kuona skai milele

Added: Aug 11, 2026 KingsMainaMSsteve
Here one can find the lyrics of the song KingsMainaMSsteve - Skai Milele by . Or KingsMainaMSsteve - Skai Milele poem lyrics. KingsMainaMSsteve - Skai Milele text.