KingsMainaMSsteve - Moyo Koma
Moyo Koma katika jina la yesu kumbuka Venye alikufanyia matharao Koma kumumis yeye hakumis koma kumtaka aje kwako yeye hakutaki kwake koma kumfikiria kila siku yeye hakufikiriagi Koma kumpeda yeye hakupedi
Kumpigania sio mapenzi kuhuzunika sio mapenzi kumumis sio mapenzi ukimtaka na yeye akukatae sio mapenzi
Moyo Koma katika jina la yesu kumbuka venye alikufanyia matharao Koma kumumis yeye hakumis koma kumtaka aje kwako yeye hakutaki kwake koma kumfikiria kila siku yeye hakufikiriagi Koma kumpeda yeye hakupedi
Hata baada ya hayo yote umekata kumove on it over now kubali
Added: Aug 11, 2026 KingsMainaMSsteve