KingsMainaMSsteve - (Sisi-Wa-Ziwa-Hili)
Karibu nyumbani, karibu home, karibu kwa kipenzi cha moyo wangu sisi hapa tunapeda kufurahia siku zote sisi wote, tumetoka far na tunaeda far, mimi ni mswahili wewe ni mswahili sisi wote ni waswahili eeeh
Sisi-Wa-Ziwa-Hili, sisi dio wenyeji wa hapa tunajivunia haya mazigira yetu hewa safi watu safi kunapedeza huku kwetu kuna milima mabonde wanyama tofauti tofauti kwenu mnajivunia nini kila mahali kuna siri yake tembea ujionee dunia ni kubwa
Hapa tunakula samaki na ugali kwenu mnakula na nini, hapa tunasafiri na meli kwenu mnasafiri na nini, hapa tunapedana kama familia kwenu je mnapedana waone watoto akina mama wanaogelea wazee kwa vijana wanatega samaki wamejiajiri wenyewe wadogo wakubwa wakonde kwa wanono maskini kwa tajiri waliosoma na ambao hawajasoma wote tunaishi mtaa moja
Sisi-Wa-Ziwa-Hili, sisi dio wenyeji wa hapa, tunajivunia haya mazigira yetu hewa safi watu safi kunapedeza huku kwetu kuna milima mabonde wanyama tofauti tofauti kwenu mnajivunia nini kila mahali kuna siri yake tembea ujionee dunia ni kubwa
Uede Korea ufanye kazi uko uede marekani upate bibi huko ufugue kampuni Kubwa India utembee africa kila mahali wakujue ufugue studio za mziki Russia ukue msani mkubwa dunia inakutambua ukue dactari utibu watu dunia kote ukuwe mwigigizaji upate pesa mingi aje huko kuote utaeda lakini home is the best utarudi tu umejijua ukiwa uko uedeshe dege angani ufly na parachuti angani uedeshe titanic meli kubwa duniani uedeshe meli juu ya maji uedeshe matatu barabarani uedeshe baiskeri nyikani utembee adventure kila mahali utarudi home, home is the best
Wapede wasipede wakupede wasikupede home is the best place, wakuduma atadumu milele wakukupeda atakupeda milele wakupeana atapeana milele wakubadilika atabadilika milele jua maana yake fanya kazi siku therathini mwezi mzima nenda kasalimie wazazi wako nyumbani wapelekee sukari mkate hakuna wengine kama hao
Sisi-Wa-Ziwa-Hili, sisi dio wenyeji wa hapa tunajivunia haya mazigira yetu hewa safi watu safi kunapedeza huku kwetu kuna milima mabonde wanyama tofauti tofauti kwenu mnajivunia nini kila mahali kuna siri yake tembea ujionee dunia ni kubwa
Tumezaliwa hapa tumesomea hapa tumekulia hapa tutaishi hapa hadi kifo generation zetu watabaki hapa tunaishi milele daima dawamu Sisi-Wa-Ziwa-Hili sisi dio wenyeji wa hapa