"KingsMainaMSsteve - Mapenzi Poa Maisha Poa " Songtext

KingsMainaMSsteve - Mapenzi Poa Maisha Poa

Kaeni pamoja anakupeda unampeda anakujali unamjali pamoja mnapedezana kama ilivyio Kawa unapika maadazi akiuza unapika uji akiuza Unaigizia pesa hapo kwa kinyozi wewe hapo kwa salon kunipeda ni kunipeda wakati Niko nayo na wakati sina mapenzi poa maisha Poa

Ukiniona na kulilia mimi sio mjiga wewe die mjiga nakupeda roho yangu inafurahishwa na wewe sanaaa najua nilikukosea nisamehe Dio tukae na wewe pamoja kama bibi na bwana mungu alitabili penzi letu sisi tumeamua dunai na vitu kushida ni kushida na wewe huyo mtu moja asikufanye upoteze thamani yako Kisha maana hakupedi mwachie mungu nakutebelea unanitebelea wapenzi wanaishi pamoja maadui wanaishi kando

Kaeni pamoja anakupeda unampeda anakujali unamjali pamoja mnapedezana kama ilivyio Kawa unapika maadazi akiuza unapika uji akiuza Unaigizia pesa hapo kwa kinyozi wewe hapo kwa salon kunipeda ni kunipeda wakati Niko nayo na wakati sina mapenzi poa maisha Poa

Mpiganie nikupiganie aliniacha wakati nilimumiss sana Amelia leo pia jana kusema kaachwa hiyo sio pezi Poa njaa ya mwili ni kwa muda tu njaa ya moyo ni ya milele kupde ni na moyo sio mwili mapenzi poa maisha Poa

Hinzugefügt: 21.04.2026 KingsMainaMSsteve
Hier finden Sie den Text des Liedes KingsMainaMSsteve - Mapenzi Poa Maisha Poa Song von . Oder der Gedichttext KingsMainaMSsteve - Mapenzi Poa Maisha Poa . KingsMainaMSsteve - Mapenzi Poa Maisha Poa Text.